Mashabiki wakishangilia baada ya timu yao kushinda bao la kwanza
Ni furaha mtindo mmoja
Wakitoa hamasa kwa timu yao
Kikosi cha Wanamsimbazi
Hiki ni kikosi cha Ruvu Shooting
Hapa wakipeana mikono na Simba
Mabingwa watetezi wa ligu kuu Tanzania Simba jana walilazimishwa suluhu ya moja moja na maafande wa Ruvu Shooting kaika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliofanyika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Simba ndio ya kwanza kushinda baada ya kunako kipindi cha kwanza kabla ya Ruvu kuzinduka kutoka usingizini na kurejesha bao hilo dakika ya 76 kipindi cha pili