Hapo ni Amigo, Mohamed Ali na Rahma Machupa wakianza kukata keki
Kama kawaida wakijadiliana jambo kabla ya kukata keki
Rahma Machupa akianza kukata keki
Mohamed Ali akikata keki kugawa kwa mashabiki
Keki ikiwekwa kwenye sahani
Imependeza
Rahma akianza kuwalisha keki mashabiki wa Jahazi Kula kaka
Keki ikiendelea kukatwa
Chukua na wewe
Subiri tuonje na sisi kwanza
Rahma akimlisha Mohamed Ali kipande cha keki
Ikiwa imehifadhiwa vizuri nadhani mumeiona ilivyotengenezwa vizuri
Haya sasa mate yanawatoka
Mumeiona
Mtoto pori akianda maakuliMuimbaji anayechipukia kwa kasi katika bendi ya Jahazi Morden Taarab amefanya sherehe yake ya kuzaliwa katika ukumbi wa Travetine Hotel, ambapo sherehe hizo zilikuwa bab kubwa.
Katika sherehe hiyo fupi, mashabiki wa Jahazi pamoja na waimbaji wa kundi hilo, walipata fursa ya kula keki na vinywaji mbalimbali vilivyoandaliwa na muimbaji huo.
Muimbaji huyo ambaye aliamua kuvaa vazi la kabila la kimasai alikuwa anatimiza miaka .... tangu kuzaliwa kwake na aliamua kuwashirikisha mashabiki wake katika sherehe hiyo iliyovutia mashabiki wengi.