Hapa ni viongozi wa CUF wakiwa jukwaani kulia ni Maliamu Seif na Profesa Lipumba
CHAMA cha CUF leo kimepanga kufanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya Jangwani Dar es Salaam.
Mkutano huo, utahudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Chama hicho, akiwemo, Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CUF.