Fatma Mcharuko
Amigo
Babu AllyMuache Malkia aitwe Malkia
Miriamu Amour
Mfalme Mzee Yussuf
Mohamed Alli
Sauti ya Chiriku Hadija Yussuf
Baba warida kama kawaida
Kiduku hicho
WAKONGWE wa muziki wa taarab, Jahazi usiku huu watajinafasi na mashabiki wao katika onyesho kabambe litakalofanyika kwenye ukumbi wa Travetine Hoteli Magomeni, Dar es Salaam.
Onyesho hilo litafanyika saa 3.00 usiku mpaka majogoo, ambapo Jahazi litateremka na waimbaji wake wote mahiri.
Mkurugenzi wa Jahazi Mzee Yussuf, amesema watatumia onyesho hilo kupiga nyimbo zao mpya zilizomo katika albamu yao ya 9 itakayozinduliwa mwishoni mwa mwaka huu.