Tumba kama kawa
Jamaa akipiga drams
Haya twende, hao ni Hasan Moshi, Juma Katundu na Edo Sanga
Mambo ya Msondo waachie wenyewe
Waimbaji nguli wa Msondo wakiwajibika jukwaani
Huyu ni Dede na Edo Sanga
Mambo ya Romario, wakipuuliza tarumbeta na Hamis Mnyupe na huyu mmoja akipuuliza mdomo wa bata
Haya tena
Mzee Ngurumo hayuko nyuma