Powered By Blogger

Sunday, September 9, 2012

JAHAZI ROHO KWATU TRAVETINE

 Huyo ni Malkia Leilah Rashid
 Hadija Yussuf akiwa na Fatma Machupa
 Warembo wa Jahzazi wakiwa kazini
 Babu kama kawaida akipapasa kinanda
Mfalme akifanya kazi yake

KUNDI la Jahazi usiku wa kuamkia leo limewapagawisha vya kutosha wapenzi na mashabiki wao katika ukumbi wa Travetine Hotel Magomeni

Onyesho hilo, lilikuwa la aina yake ambapo mashabiki walipata nafasi ya kujimwaga uwanjani na kusherehekea kwa aina yake.