Waimbaji wa 5stars
Issa Kamongo
Kwa muda mrefu sasa kundi la Fiver Stars limekuwa kimya na hatusikii kufanya maonyesho yake sasa vipi tunataka tufahamu liko wapi kwa sasa.
Tunajua lilikuwa linakuja moto sana lakini hivi punde moto huo umekuwa kimya jee ni kweli kama wanavyosema watu huko mitaani kama limeshafulia au vipi.
Shabiki wa taarab, Husna Athuman, Ilala mtaa wa Arusha.