Powered By Blogger

Wednesday, September 26, 2012

BARUA YA MSOMAJI WETU KUHUSU 5STARS

Rais wa Fiver stars Ali Jay akiwa na mpiga gita wake Mafloo
 Waimbaji wa 5stars
Issa Kamongo

Kwa muda mrefu sasa kundi la Fiver Stars limekuwa kimya na hatusikii kufanya maonyesho yake sasa vipi tunataka tufahamu liko wapi kwa sasa.

Tunajua lilikuwa linakuja moto sana lakini hivi punde moto huo umekuwa kimya jee ni kweli kama wanavyosema watu huko mitaani kama limeshafulia au vipi.

Shabiki wa taarab, Husna Athuman, Ilala mtaa wa Arusha.