Kikosi cha Simba
Hpa wakifurahia jambo
Wakiwa kwenye picha ya pamoja
WEKUNDU wa Msimbazi Simba jioni hii imeteremka dimbani kupambana na timu ya Sofapaka ya Kenya.
Mchezo huo, unapigwa kwenye uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, na ni maalumu kwa ajili ya kujipima nguvu kwa ajili ya kujiandaa na ligi kuu Tanzania Bara inayotarajiwa kuanza mapema mwezi huu.