HABARI ZA KIJAMII, MICHEZO, BURUDANI TEMBELEA BLOG HII. 0684 204548
Thursday, September 6, 2012
MNYAMA AUWAWA TAIFA
KIKOSI CHA SIMBA
TIMU YA SIMBA AMA WEKUNDU WA MSIMBAZI JANA ILISHINDWA KUFURUKUTA BAADA YA KUKUBALI KIPIGO CHA MAGOLI MATATU KWA BUYU DHIDI YA WAPINZANI WAO SOFA PAKA.
KATIKA MCHEZO HUO WA KUJIPIMA NGUVU SIMBA ILISHINDWA KUFURUKUTA BAADA YA KUKUBALI KIPIGO HICHO. MPAKA KIPINDI CHA PILI SIMBA ILIKUWA IMELALA KWA BAO TATU KWA BUYU.