Powered By Blogger

Sunday, September 16, 2012

SIMBA YASHINDA, YANGA YABANWA

Logo ya Simba
 Hao ni mashabiki wa Simba wakisherehekea ushindi
 Kikosi cha Simba
 Wachezaji wa Yanga
 Logo ya Yanga
Kikosi cha Yanga.

PAZI la Ligi Kuu ya Voda Com, Tanzania Bara lilizinduliwa jana ambapo timu zote ziliteremka dimbani kwenye viwanja tofauti.

Katika uwanja wa Taifa, mabingwa watetezi wa Ligi hiyo Simba iliizamisha timu ya Afrikan Lyon kwa magoli matu kwa buyu.

Wakati Wekundu hao wa Msimbazi wakitoka kifua mbele, wenzao Yanga walilazimishwa suluhu na maafande wa Magereza timu ya Prison ya Mbeya.