Ukumbi wa Dar Live unavyoonekana kwa nje
Huyo ni Zena Mohammed
Huyu ni Mariamu BSS
Mussa Kijoti
KUNDI linalochipukia kwa kasi katika muziki wa taarab, 5stars leo litafanya onyesho kabambe katika ukumbi wa Dar Live, Mbagala.
Onyesho hilo maalumu kwa wakazi wa Temeke na Vitongoji vyake limepangwa kuanza saa tatu usiku mpka majogoo.
Kwa mujibu wa waandaaji wa onyesho hilo, 5stars itapanda jukwaani ikiwa na waimbaji wake mahiri akiwemo Mussa Kijoti na wenzake.