Ukutane na Malkia Leila Rashid
Big Daddy Mfalme Mzee Yussuf
Mussa Bezi
Utamuona Khadija Yussuf
Hawa wote watakuepo
Futher Mauji pia utamuona
Amigo ataonekana
Utakutana na Mohamed Ali
Fatma Ali atamwaga machejo laivu
Utamuona Miriamu Amour
Mgeni Saidi atakuepo
Umuone Fatma Mcharuko
WAKALI wa mipasho nchini, Jahazi Morden Tarabu 'Wana wa nakshinakshi' usiku huu watajinafasi na wapenzi na mashabiki wao pale katika ukumbi wa Monie Junction uliopo Yombo Lumo.
Jahazi wakiongozwa na Mfalme Mzee Yussuf wataanza kuwasafirisha wapenzi na mashabiki wao kuanzia saa tatu usiku hadi riamba.
Mbali na Mzee Yussuf, waimbaji wote wa Jahazi watakuepo katika onyesho hilo maridhawa. Hivyo wapenzi na mashabiki wa Jahazi wanaombwa kuhudhuria kwa wingi katika onyesho hilo.