Sharomilionea
Mwasiti Kitoronto
Chezea Sharoo weee
Amigo huyo
Fatma Ali
Huyu ni Fatma Mcharuko
Hadija Yussuf naye yumo
Malkia Leila Rashid
Dk. Mudi Maugo akichana nyuzi
Mtoto Pori Mohamed Ali
Asante sana Chid Boy
Huyo ni Mgeni Said
Mfalme Mzee Yussuf
Utawapenda mwenyewe ukifika
Miriamu Amour
Mussa Mipango
Wakali wa muziki wa taarab, Jahazi usiku wa huu watajumuika pamoja na msaanii maarufu Sharobilionea katika onyesho maalumu la kumkaribisha nyumba kiongozi wa Jahazi Mzee Yussuf 'Big Dady' baada ya safari ndefu ya kikazi nchini Canada.
Shangwe na burudani hizo zitaanza saa tatu usiku mpka majogoo na waimbaji wote wa Jahazi watakuepo katika onyesho hilo.