Watani wa Jadi wakitaniana
Kikosi cha Simba
Basi la Yanga
Basi watakalopanda Simba leo
Kikosi cha timu ya Yanga
Macho na masikio ya wapenzi wa soka hapa nchini yote yanaelekezwa katika uwanja wa taifa, Dar es Salaam ambapo timu zenye utani wa jadi Simba na Yanga zitapambana katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara.
Timu hizo zinaingia uwanjani huku Simba ambao ni mabingwa watetezi wakiwa wakijigamba kuifunga Yanga ambao katika msimu uliopita waliigaragaza bao tano kwa buyu.