Umuone Malkia Leila Rashid
Mussa Bezi atakuepo
Uonane na Sauti ya Chiriku Hadija Yussuf
Utawakuta wote hawa
Mauji atachana nyuzi kisawasawa
Amigo ataringa na mashabiki wake
Mohamed Ali hatakuwa nyuma leo
Fatma Ali utamuona
Utawakuta Mzee Yussuf na dada yake Hadija wakiimba pamoja
Mambo ya Babu Ali
Utakutana na Mcharuko
Ukutane na mashabiki wastarabu kama hawa
Mgeni Said atafanya mambo yake kama kawaida
Miriamu Amour atanogesha kweli kweli
Utayaona mambo ya Chidi Boy
Utawaona waimbaji hawa live bila chenga
Hata hawa watakuepo
Mussa Mipango atakuepo
Utamuona Malkia na marafiki zake
Utakutana na Big Daddy Mzee Yussuf
Wakali wa muziki wa taaraba, Jahazi leo watakonga nyoyo za mashabiki wao katika ukumbi wa mashujaa uliopo Vingunguti, Dar es Salaam.
Onyesho hilo limepangwa kuanza saa tatu mpaka majogoo litakuwa la kwanza baada ya safari ndefu ya Mzee Yussuf nchini Canada.