Powered By Blogger

Wednesday, July 20, 2011

Nguli wa kundi la Jahazi Morden Taarab, Mwasiti Kitoronto anayetamba na kibao chake cha 'Jaala haikimbiliki' akiwapagawisha mashabiki wa kundi hilo usiku wa kuamkia leo pale Kiwalani.