Powered By Blogger

Thursday, July 21, 2011

Mhariri wa gazeti la Rai, Dan Mwakiteleko akiwa amelazwa pale MOI baada ya kupa ajali mbaya ya gari usiku wa kuamkia juzi. Pole sana Mungu anakuponya!