Powered By Blogger

Thursday, July 28, 2011

mumeziona hati!Huyo ni Kamanda wa Kikosi cha Dawa za Kulevya, Godfrey Nzowa akionyesha hati mbili za kusafiria zinazodaiwa kutumiwa na mfanyabiashara Rashid Mtope.