Powered By Blogger

Wednesday, July 20, 2011

Mtaalamu wa solo nchini Juma Mkunda akifanya mambo yake. Picha ya chini ni Malkia Leila Rashidi na Mwasiti wakizidi kunogesha katika shoo ya Jahazi usiku wa kuamkia leo.