Powered By Blogger

Tuesday, July 26, 2011

Mama Asha Baraka akimkabidhi fedha muimbaji mkongwe wa bendi ya Msondo Ngoma, Maalimu Muhidini Ngurumo. Fedha hizo zilichangwa na mashabiki wa Twanga na Msondo kwa ajili ya kumsaidia Mzee Ngurumo kupata matibabu