Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka akiweka jiwe la msingi kwenye uzinduzi wa mradi wa nyumba za NHC zilizopo Ilala, Mchikichini.
Mambo ya Msondo
Hao ni Edo Sanga, Said Mabera na Shabani Dede
Director wa NHC Nehemia Mchechu akiwa na Mh. James Lembeli
Mambo yakiendelea
Mnupe akifanya mambo yake
Ni burudani kwenda mbele
Rapa wa Msondo Ngoma, Romario akipuliza tarumbeta
Profesa Tibaijuka akisalimiana na mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu
Prof, Tibaijuka akiwa na Mwenyekiti wa bodi wa NHC
Hapa Profesa Tibaijuka akiweka jiwe la msingi
Waziri huyo akifungua kitambaa kushoto ni Mh. James Lembeli
Akisalimiana na wageni mbalimbali
Akiangalia ujenzi unavyoendelea
Wakiwa kwenye picha ya pamoja
Wakiwa kwenye picha ya pamoja na wageni waalikwa
Jinsi nyumba hizo zinavyoonekana