Powered By Blogger

Sunday, August 26, 2012

SENSA YA WATU NA MAKAZI YAANZA LEO NCHI MZIMA

 Nembo ya Sensa
RAIS Jakaya Kikwete akiangalia moja ya dodoso la Sensa mapema asubuhi leo, ambapo amehesabiwa na familia yake.