Powered By Blogger

Thursday, August 11, 2011

WALE WAKALI WA MUZIKI WA TAARAB NCHINI KUNDI LA JAHAZI MORDEN TAARAB LINATARAJIA KUFANYA MAZOEZI YA KUKATA NA SHOKA KWA AJILI YA KUJIANDA NA UZINDUZI WA ALBAMU YAO MPYA AMBAYO HAIJAPEWA JINA.

AKIZUNGUMZA KWA NJIA YA SIMU AKIWA ULAYA, MKURUGENZI WA KUNDI HILO MFALME MZEE YUSSUF ALISEMA MAZOEZI HAYO YANATARAJIWA KUFANYIKA MAPEMA WIKI IJAYO.

ALISEMA TAYARI KUNDI HILO LIMEJIPANGA KIKAMILIFU KWA AJILI YA MAZOEZI HAYO NA UZINDUZI KWA UJUMLA.