Powered By Blogger

Friday, August 12, 2011

KAIMU MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, MH. SADICK MECK SADICK AMEWATAKA WANANCHI WA MKOA HUO KUJITOKEZA KWA WINGI KATIKA MAONYESHO YA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU WA TANGANYIKA YATAKAYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA.

MH. SADICK (PICHANI CHINI), ALISEMA KATIKA MAONYESHO HAYO WANANCHI WATAPATA TAARIFA MBALIMBALI ZINAZOHUSU MKOA WA DAR ES SALAAM, NA SHUGHULI ZINAZOFANYWA NA MKOA HUO TANGU UHURU.