HABARI ZA KIJAMII, MICHEZO, BURUDANI TEMBELEA BLOG HII. 0684 204548
Tuesday, August 16, 2011
MAKAMU WA RAIS DK. MOHAMED GHARIB BILALI AKIZINDUA NYUMBA ZA ASKARI POLISI ZILIZOPO KURASINI. KULIA NI WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI SHAMSI VUAI NAHODHA NA KUSHOTO NI IGP SAID MWEMA.