KIONGOZI WA KUNDI LA JAHAZI MORDEN TAARAB, MZEE YUSSUF AMEONDOKA NCHINI KUELEKEA ULAYA KWA YA KUFANYA MAONYESHO.
KWA MUJIBU WA TAARIFA KUTOKA NDANI YA KUNDI HILO, MZEE YUSSUF ATAFANYA MAONYESHO KWENYE NCHI MBALIMBALI NA BAADAE ATAREJEA NCHINI.
HIVI SASA KUNDI HILO, LINAFANYA MAONYESHO YAKE CHINI YA DIRECTOR MUDI MAUGO NA LEO LITAPOROMOSHA BURUDANI KATIKA UKUMBI WA TRAVETINE MAGOMENI.