Powered By Blogger

Wednesday, November 28, 2012

MAZISHI YA SHARO MILIONEA: JIJI LA TANGA LA ZIZIMA

 Mwili wa Marehemu ukishushwa kwenye gari
 Jeneza alilohifadhiwa marehemu Sharo Milionea
Ulinzi ukiimarishwa msibani
 Baadhi ya wananchi waliohudhuria mazishi
 Mama wa Marehemu akilia kwa uchungu
 Mwili ukiwasili makaburini
Mzee Majuto akiwa kwenye majonzi makubwa

VILIO na huzuni vimetikisa katika jiji la Tanga, ambapo msanii na muingizaji wa vichekesho Sharo Milionea alipozikwa jana katika kijiji chao cha Muheza mkoani humo.

Mazishi ya msanii huyo, aliyefariki jana kwa ajili ya gari yalihudhuriwa na maelfu ya wananchi wakiwemo wasanii mbalimbali hapa nchini.

Umati wa wananchi walianza kuhudhuria nyumbani kwao marehemu majira ya asubuhi huku wakiwa na nyuso za manjozi ambapo baadhi yao walishindwa kujizuia na kuangua vilio kwa uchungu.

Msiba wa Sharo Milionea ulishtua wananchi wengi kutokana na nyota ya msanii huyo chipukizi kuanza kungara katika siku za hivi karibuni.

Kiongozi wa Blog hii, Mzee Yussuf na wasanii wengine wa kundi la Jahazi linatoa pole kwa ndugu na jamaa kutokana na msiba huo mzito.

Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu pahala pema peponi roho ya marehemu. Aminaaa.

Tuesday, November 27, 2012

SHAROMILIONEA AMEFARIKI DUNIA.

 Sharo
 Sharomilionea enzi za uhai wake
Mzee Majuto na Sharomilionea enzi za uhai wake

PIGO

TATHINIA ya filamu nchini imepata pigo baada ya msaani nguli Sharobilionea kufariki dunia  jana katika ajali ya gari.

Sharo ambaye amejipatia umaarufu siku za karibuni alifariki baada ya gari lake kupinduka wakati akielekea Tanga eneo la Segera.

Blog hii tutatoa pole kwa ndugu na jamaa na marafiki na mungu aiweke roho ya marehemu pahala pema peponi amina.  

Habari ambazo zimetufikia hivi punde zinapasha kwamba muigizaji na mwanamuziki, Hussein Ramadhan Mkieti almaarufu kama Sharo Milionea,amefariki dunia kutokana na ajali ya gari iliyotokea mida ya saa mbili usiku katika eneo la Maguzoni Songa katikati ya Segera na  Muheza mkoani Tanga.
Habari za ajali hii na tukio hili la kusikitisha zimethibitishwa na Kamanda wa Polisi mkoani Tanga, Constantine Masawe. Kwa mujibu wa Kamanda huyo, gari aina ya Toyota Harrier lenye namba za usajili T478 BBR alilokuwa akiendesha marehemu kutokea Dar-es-salaaam kwenda Muheza lilipofika katika eneo hilo liliacha barabara na kupinduka na hivyo kusababisha mauti yake.Mwili wake umehifadhiwa katika chumba cha maiti cha Hospitali Teule ya Muheza.
BC inaungana na wapenzi wote wa sanaa nchini Tanzania kutoa pole za dhati kwa ndugu,jamaa na marafiki wa Sharo Milionea.Pumzika kwa Amani.

Read more: BREAKING NEWS: SHARO MILIONEA AFARIKI DUNIA! - BongoCelebrity

Sunday, November 25, 2012

Hii ndio Jahazi itakayotikisa Trave usiku huu

 Mkurugenzi Mzee Yussu akipapasa kinanda
 Sauti ya Chiriku Hadija Yussuf
 Fatma Mcharuko akiimba
 Burudani kwenda mbele tu hapa huyo ni Miriam Amour
 Prince Amigo akiringa na mashabiki wake
 Mtoto pori Mohamed Ali akifanya mambo yake
 Mambo ya gita hayo
Babu Ali Mzee wa kuharibu 
 Huyu ni Fatma Shobo akiimba
 Malkia Leila Rashid utamtaka
 Kundi zima la kanga moja
 Mashabiki wetu hao
 Huyo ni Mussa Mipango
 Mambo ya Miriam Amour
 Rahma Machupa
 Hapa wakiwa kwenye steji
H
 Wote wakiimba
 Mashabiki kibao
 Mfalme akiimba
 Mussa Bezi huyooo
Leila akiangalia wimbo wake

Monday, November 19, 2012

MAPOKEZI YA JK YATIKISA JIJI LA DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Kikwete
 Hapa Rais Kikwete akihutubia
 Vijana  wa JKT wakionyesha umahiri wao
 Vijana Jazz kama kawa
 Ni sherehe kwenda mbele tu
 Makamu Mwenyeti wa CCM Bara Phillip Mangula akilakiwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik
 Wasanii wa ToT wakitoa burudani
 Mambo ya wana CCM hayo
 Umati wa wana CCM wakisikisikiliza hotuba za viongozi wao
 Kikundi cha hamasa kutoka Temeke
 Marlow akiwaburudisha viongozi
 Captein Mstaafu John Komba akitoa burudani
 Hao ni Ma D na Dogo Asilei
 Wana CCM wakijiachia kwa raha zao
 Waserebuka
 Wakishangilia
 Hapa wakicheza ngoma ya segere
 Dogo Asilei akifanya mambo
 Wanachama wakiserebuka
 Mambo yakiendelea
 Malkia wa mipasho Hadija Omari Kopa akitoa burudani
 Umati wa wanachama waliojitokeza
Wasanii wakitoa burudani