Mzee Yussuf 'Big Daddy'
HABARI ZA KIJAMII, MICHEZO, BURUDANI TEMBELEA BLOG HII. 0684 204548
Friday, February 17, 2012
YANGA KUIVAA ZAMALEKI KESHO
Kikosi cha Yanga kesho kitashuka dimbani kuvaana na
timu ya Zamaleki kuwania kufuzu klabu bingwa Afrika.
Yanga itashuka uwanjani ikiwa na matumaini makubwa ya ushindi kutokana na kufanya maandalizi ya kutosha.
Mchezo huo utapigwa katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Newer Post
Older Post
Home