Powered By Blogger

Thursday, July 28, 2011

Adha ya Mgambo wa Jiji! Mgambo wa Jiji wakiwa wamemzunguka muuza maembe pale Kariakoo hata hivyo wananchi waliingilia kati ugomvi huo na muuza maembe akaachiwa na kuendelea na kazi yake ya kutafuta ugali