Powered By Blogger

Tuesday, September 27, 2011

PICHA TOFAUTI ZA WAIMBAJI WA JAHAZI

 KUTOKA KUSHOTO NI MWANANNE, FATMA ALLI NA FATMA MAHAMUDU
KULIA NI MWASITI KITORONTO NA MIRIAM AMUOR
 MALKIA LEILA RASHID
 HAPA NI KIDAWA AKIWA NA FATMA KASIM NA HALIMA
 HUYO NI MUSSA BEZIII AMINIAA BABA
 MASHABIKI WA JAHAZI
HADIJA YUSSUF 'SAUTI YA CHIRIKU'
KIDUKE MBELE KWA MBELE

Sunday, September 18, 2011

MFALME MZEE YUSSUF

KIONGOZI WA KUNDI LA JAHAZI MORDEN TAARAB, MZEE YUSSUF AMEONDOKA NCHINI KUELEKEA ULAYA KWA YA KUFANYA MAONYESHO.

KWA MUJIBU WA TAARIFA KUTOKA NDANI YA KUNDI HILO, MZEE YUSSUF ATAFANYA MAONYESHO KWENYE NCHI MBALIMBALI NA BAADAE ATAREJEA NCHINI.

HIVI SASA KUNDI HILO, LINAFANYA MAONYESHO YAKE CHINI YA DIRECTOR MUDI MAUGO NA LEO LITAPOROMOSHA BURUDANI KATIKA UKUMBI WA TRAVETINE MAGOMENI.

Thursday, September 15, 2011

KIKOSI CHA YANGTA JIONI HII KINATEREMKA DIMBANI KUPAMBANA NA TIMU YA AFRIKAN LYON YA JIJINI DAR ES SALAAM.

YANGA INASHUKA DIMBANI KUJARIBU BAHATI YAKE BAADA YA KUCHEZA MICHEZO MINNE IKIWA NA POINTI TATU.

KIKOSI CHA YANGA

WACHEZAJI WA SIMBA WAKIBADILISHANA NAMBA NA WAANDISHI WA UHURU NA MZALENDO

Tuesday, September 13, 2011

RAIS WA ZANZIBAR AKIONGOZA KISOMO CHA KUWAOMBEA MAREHEMU WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA MELI YA MV SPICE ISLANDER.
 NDEGE NDOGO YA ABIRIA IKIWA IMEANGUKA ENEO LA MASHAMBA YA TAASISI YA KILIMO UYOLE, MBEYA. HAKUNA MTU ALIYEKUFARIKI KATIKA AJALI HIYO.
UKARABATI WA BARABARA YA NYERERE UKIENDELEA.

Sunday, September 11, 2011

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DK. JAKAYA KIKWETE AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WALIOFIKA KATIKA KIJIJI CHA NUNGWI KUSAUBIRI NDUGU ZAO

IDADI YA WATU WALIOKUFA KATIKA AJALI YA MELI YA MV. SPICE ISLANDER ILIYOZAMA USIKU WA KUAMKIA JUZI IMEFIKIA 240. KWA MUJIBU WA HABARI KUTOKA ZANZIBAR HADI SASA WATU 607 WAMEOKOLEWA WAKIWA HAI HUKU IDAADI KUBWA YA WATU WAKIWA HAWAJAPATIKANA.

VIONGOZI WAKUU WANCHI WAUNGANA NA WANANCHI WA ZANZIBAR KATIKA MAOMBOLEZI YA MSIBA KUFUATIA AJALI YA MELI YA MV. SPACE ISLANDER

RAIS JAKAYA KIKWETE AKIWA NA RAIS WA ZANZIBAR DK. ALLI MOHAMMED SHENI WAKIANGALIA MAITI ZA WATOTO WALIOKUFA KATIKA AJALI HIYO
MAKAMU WA RAIS DK. MOHAMMED GHARIB BILALI AKIMPA POLE MMOJA YA WATU WALIOKUMBWA NA MSIBA HUO

PICHA TOFAUTI ZA WAREMBO WALIOSHIRIKI VODA COM MISS TANZANIA 2011

WALIOINGIA TANO BORA

WASHINDI WALIOIBUKA KIDEDEA
 MREMBO AKIWA KATIKA POZI
 MLIMBWENDE ROSE HURBERT AKIINGIA UKUMBINI
 WEIRUNGA DAVID
CHIARU MASONOBO
CHIARU MASONOBO AKIWA KATIKA PICHA TOFAUTI
 WAREMBO WENGINE WAKIPITA JUKWAANI

 NAYE PIA YUMO
MREMBO AKIPITA KATIKA JUKWAANI
BOB JUNIOR

UMATI WA WATU UKISUBIRI MAJERUHI WA AJALI YA MELI KATIKA UFUKWE WA NUNGWI

PICHA TOFAUTI ZIKIONYESHA WATU WALIVYOKUA WAKIJIOKOA

 JINSI WANANCHI WALIVYOJIOKOA NA AJALI HIYO
 WANANCHI WAKIJARIBU KUOKOA MAISHA YAO
 WAOKOAJI WAKIBEBA MWILI WA MAREHEMU ALIYEFARIKI
 MAJERUHI AKIPATA KIFUNGUA KINYWA

BOTI YA UOKOAJI IKITAFUTA ABIRIA WALIOZAMA


PICHA MBALIMBALI ZA MAJERUHI WA MELI YA MV.SPAICE ILIYOZAMA JANA KATIKA MKONDO WA NUGWI.

 RAIS WA ZANZIBAR DK. ALLY MOHAMMED SHEIN AKIWAFARIJI MAJERUHI WA AJALI HIYO YA MELI
 MAJERUHI WALIOKOLEWA KATIKA AJALI HIYO
 UMATI WA WANANCHI UKISUBIRI KUTAMBUA NDUGU ZAO
 WANANCHI WAKIWA KATIKA VIWANJA VYA MAISARA WAKISUBIRI KUTAMBUA MIILI YA NDUGU ZAO
BAADHI YA MAJERUHI WAKIPATA HUDUMA YA KWANZA

Saturday, September 10, 2011

MELI YA MV SPICE IKIWA IMEZAMA

MELI YA MV SPICE ILIYOZAMA USIKU WA KUAMKIA LEO KATIKA MKONDO WA NUNGWI

BREKING NEWZZZ. ZAIDI ya
watu 500 wanasadikiwa kufariki
dunia baada ya meli waliokuwa
wakisafiria kutoka Unguja
kwenda Pemba kuzama katika
bahari ya Nungwi.
Meli hiyo ilikuwa imechukua abiria
zaidi ya 610 pamoja na mizigo
ilizama usiku wa kuamkia leo saa
8.30 baada ya kutokea hitilafu.
Kwa mujibu wa taarifa
zilizopatikana kutoka Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk. Alli
Mohammed Sheni yupo eneo la
tukio kuangalia jinsi uokoaji
unavyoendelea.
Taarifa pia, zilisema juhudi za
kuokoa waliozama katika meli
hiyo zinaendelea ambapo
wanaokolewa wanapelekwa
katika viwanja vya Maisara kwa
ajili ya kutambuliwa na ndugu
zao.
Tutaendelea kuwaletea taarifa
hapo baadae.

Friday, September 9, 2011

RAIS WA ZANZIBAR DK. ALLY MOHAMMED SHENI AKISALIMIANA NA UJUMBE KUTOKA CHUO KIKUU CHA MAREKANI, IKULU MJINI ZANZIBAR LEO

MAMBO YA SARAKASI HAYO! USIJARIBU KUIGA UTAUMBUKA

MUACHE MFALME AITWE MFALME!!!! MZEE YUSSUF AKIWA KATIKA POZI

YOTE MAISHA! WATUHUMIWA WA DAWA ZA KULEVYA WAKIWA KATIKA MAHAKAMA YA MKAZI KISUTU LEO


MFALME MZEE YUSSUF

KIONGOZI wa Kundi la Jahazi, Mzee Yussuf ameondoka nchini leo kuelea Ulaya kwa ajili ya kufanya maonyesho.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo, kiongozi huyo, aliyejipatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya nchi baada ya kuwa mtu wa kwanza kuibadilisha sanaa ya taarab kwa kupiga taarab ya kisasa yaani 'Morden' atafanya maonyesho ya siku mbili tatu na kurejea nyumbani.
Jahazi hizi sasa inajiandaa na uzinduzi wa albamu yao mpya inayofahamika kwa jina la 'Mpenzi Chokileti' ambayo itazinduliwa Desemba 24, mwaka huu, na itakwenda sambamba na 'birthday' ya kundi hilo.
Kwa mujibu  wa Mfalme albamu hiyo inatakuwa na nyimbo sita na tayari zimeshaanza kupigwa kwenye baadhi ya kumbi za burudani.
Mzee Yussuf aliongeza kuwa kundi lake hivi sasa liko katika hali mzuri na limesheheni wasanii kibao na kwamba wako katika hatua za mwisho kupata msaanii mpya ambaye hakutaka kumtaja kwa sasa.
Jahazi hivi sasa inatamba na albamu ya wagombanao ndio wapatanao.

MLEMBWENDE ANAYEWANIA TAJI LA MIS TANZANIA LEILA JUMA AKIWA KATIKA POZI

MBIO ZA KAMPENI JIMBO LA IGUNGA. PICHA TOFAUTI ZIKIMUONYESHA MWENYEKITI MSTAAFU WA CCM, BENJAMINI MKAPA AKISALIMIANA NA WANA-CCM BAADA YA KUWASILI JIMBONI HUMO KUZINDUA KAMPENI ZA CHAMA HICHO JANA